tangazo
Anadai kuwa mwanaume akimwambia asipende pesa zake huyo ni mdanganyifu na hafai kumili mwanamke yeyote yule.....
Hii ni kauli yake niliyokutana nayo facebook

"mmmh!!if
i were a boy,nisingetaka mwanamke anaenipenda mimi kama
nilivyo,ningetaka apende hela zangu ili nizidi kuzitafuta,na ukweli
hamna mwanamke anaempenda mwanaume kama alivyo we all looking for
someting,...
Sasa huo usemi wa kuambiana usipende pesa zangu nipende mimi
sijui unatokea wapi,acheni kudanganywa jamni ukimpata mwanaume
anakwambia nipende mimi na si pesa zangu my dear run.............
coz
huyo kaplan kufa maskini au muoga wa maisha....u suppse 2 love them
both!!!!!!"
Sasa huo usemi wa kuambiana usipende pesa zangu nipende mimi sijui unatokea wapi,acheni kudanganywa jamni ukimpata mwanaume anakwambia nipende mimi na si pesa zangu my dear run.............
coz huyo kaplan kufa maskini au muoga wa maisha....u suppse 2 love them both!!!!!!"