Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » OTILIA ANASWA AKIMTOMASA KIMAHABA MNENGUAJI MWENZAKE

OTILIA ANASWA AKIMTOMASA KIMAHABA MNENGUAJI MWENZAKE

tangazo

MWANAMUZIKI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo’, Otilia Boniface amenaswa  akiwa akimtomasa  kimahaba   mnenguaji mwenzake ambaye jina lake halikupatikana mara moja.

Otilia alinaswa juzikati katika Ukumbi wa Meeda kulikokuwa na onesho la bendi hiyo ambapo yeye na mwenzake huyo walinaswa nyuma ya steji wakitomasana  na  kupigana  busu   mithili ya mume na mke, hali iliyosababisha mshangao mkubwa

 “Mwenzangu mimi ndiyo dada yenu mnapoingia kwenye bendi lazima niwapokee vizuri na nimeshawapokea wengi sana hivi ndiyo ninawakaribisha,” Otilia alisikika akimwambia mnenguaji huyo.

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger