Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » PAMOJA NA UBOVU WA HUDUMA ZAO....STARTIMES WAPANDISHA VIFURUSHI VYAO

PAMOJA NA UBOVU WA HUDUMA ZAO....STARTIMES WAPANDISHA VIFURUSHI VYAO

tangazo

Ikiwa ni miezi minne tu imepita toka tulipoingia rasmi kwenye mfumo dijitali (digital system) kwa vituo vya televisheni.. Startimes wamepandisha gharama ya vifurushi.. 
 
Kile kilichokuwa kinauzwa Tshs. 9,000 sasa kitauzwa Tshs. 10,000.. 
 
Kile cha Tshs. 18,000 sasa kitakuwa Tshs. 20,000.. Kile cha Tshs. 36,000 sasa kitakuwa ni Tshs. 40,000.. Itaanza rasmi tarehe 15 April..
 
TCRA waliahidi mambo  mengi  mazuri kwenye mfumo dijitali..Ahadi  yao  imegeuka  na  kuwa  ndoto.....

Vifurushi  vinapanda  huku  huduma  ikiwa  ni  mbovu  hasa  kwa  hawa  Startimes

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger