Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » UPDATE: TANZANIA YAONYWA VIKALI NA WAASI WA M23 DRC ISIPELEKE JESHI LAKE

UPDATE: TANZANIA YAONYWA VIKALI NA WAASI WA M23 DRC ISIPELEKE JESHI LAKE

tangazo
Serikali ya Tanzania imeonywa vikali kuhusu mpango wake wa kupeleka Vikosi vya Kijeshi kupambana na kundi la waasi wa M23 nchini Kongo DRC.

 Katika barua yake kwa Rais wa Tanzania Mh. Jakaya Kikwete, kiongozi wa kundi la M23 ameionya vikali serikali ya Tanzania kuhusu mpango wake huo na kuitaka iusitishe mara moja. 

Aidha kwa mujibu wa Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa ichi zitakazopeleka vikosi vya kijeshi nchini Kongo DRC ni Tanzania, Afrika ya kusini na Malawi. 

Source DW Kiswahili katika habari za Afrika mchana huu.

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger