tangazo

Wema
Sepetu anaonekana kuumizwa sana na kitendo cha Diamond
kumrekodi wakati anajitongozesha kwake usiku alipokuwa na mpenzi
wake Penny....
Walipomrekodi, waliisambaza clip hiyo mitandaoni na katika vituo kadhaa vya redio.....
Hii ni fedheha ambayo nadhani Wema Sepetu hataisahau maishani mwake ....