tangazo
Godbless Lema ambaye ni mbunge wa arusha ametembelea eneo la kanisa lililolipuliwa na kuwafariji wahanga wa tukio hilo.....
Akiongea
kwa jazba na hasira na wanachi waliopo eneo la tukio,Lema
ameitumu serikali kwa mara nyingine na kudai kuwa uzembe wa
viongozi ndo chanzo cha matukio kama haya....
Hotuba
fupi na nasaha zake zilikuwa zikisikika moja kwa moja kupitia
Radio maria kabla ya kituo hicho kuamua kukatisha nasaha
zake.....
Haijafahamika mara moja sababu za kukatishwa kwa hotuba yake ...
Bado tunasubiri taarifa rasmi ya vyombo vya ulinzi na usalama kuhusiana na tukio hili