Home »
habari za kitaifa
» VIDEO: RIPOTI YA ITV KUHUSU VURUGU ZA WANANCHI WA MTWARA ZILIZOSABABISHA WATU WAPOTEZE MAISHA
VIDEO: RIPOTI YA ITV KUHUSU VURUGU ZA WANANCHI WA MTWARA ZILIZOSABABISHA WATU WAPOTEZE MAISHA
tangazo
Mtu mmoja amefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa katika vurugu zilizoibuka mkoani Mtwara baada ya bajeti ya wizara ya nishati na madini kusomwa ambapo pia ofisi za CCM wilaya ya Mtwara vijijini imeteketezwa moto pamoja na nyumba nyingine nne ikiwemo nyumba ya mbunge na mwandishi wa habari wa TBC
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.