Home »
habari za kitaifa
» AJALI MBAYA KATI YA MWENDESHA BODABODA NA LORI.....DEREVA WA BODABODA AMEFARIKI DUNIA
AJALI MBAYA KATI YA MWENDESHA BODABODA NA LORI.....DEREVA WA BODABODA AMEFARIKI DUNIA
tangazo
Ajali imetoke Mtaa wa chuma road karibu na bodi ya nafaka.. Wenye
pikipiki walikua wanatoka Veta kunyoosha mbozi road na mwenye gari
anatokea kwa sokota, mwenye gari akapinda kona ya Simba Plastiki na
kuwazoa wenye pikipiki,
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.