Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » ALBERT NGWEA APOKELEWA KWA HUZUNI KUBWA, MWILI WAKE UMEPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI

ALBERT NGWEA APOKELEWA KWA HUZUNI KUBWA, MWILI WAKE UMEPELEKWA HOSPITALI YA MUHIMBILI

tangazo


 Mwili ukipelekwa  muhimbili....

Mwili wa Marehemu Albert Mangwea aliyefariki dunia May 28 huko Johannesburg leo umeingia Dar es salaam na kupelekwa moja kwa moja hospitali ya Muhimbili, umati wa watu  umefika uwanja wa ndege kushuhudia na kumpokea Ngwea.
 



TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger