Home »
habari za kitaifa
» POST ZA MWISHO ZA FACEBOOK NA TWITTER NA VIDEO YA MWISHO YA MAREHEMU LANGA KILEO
POST ZA MWISHO ZA FACEBOOK NA TWITTER NA VIDEO YA MWISHO YA MAREHEMU LANGA KILEO
tangazo
Ikiwa ni siku chache baada ya kuondokewa na mpendwa wetu Albert Mangwea, tasinia ya Muziki wa kizazi kipya imepata pigo jingine kubwa kwa kuondokewa na msanii wa Hip Hop anaejulikana kwa jina la Langa Kileo.
Langa amefariki dunia akiwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kulazwa jana akisumbuliwa na malaria kali
Zifuatazo ni post za mwisho za facebook na twitter pamoja na video yake mpya ya marehemu Langa
FACEBOOK:
TWITTER
Na Hii ndio video yake ya mwisho ya marehemu Langa ambayo alikuwa akiipa promo kwenye tweet na facebook post yake ya mwisho.
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.