Home »
habari za kitaifa
» RAIS KIKWETE AWATAKA VIONGOZI WA DINI WAENDELEE KUHUBIRI AMANI, UPENDO NA MSHIKAMANO
RAIS KIKWETE AWATAKA VIONGOZI WA DINI WAENDELEE KUHUBIRI AMANI, UPENDO NA MSHIKAMANO
tangazo
Rais
Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini nchini kuendelea kuhubiri
kuhusu amani upendo na mshikano na kuendelea kuwajenga vijana katika
maadili mema ili taifa lisiangamie.
Rais kiwete ameyasema hayo
Mkoani Morogoro katika Jubilee ya miaka 25 ya uaskofu wa Askofu
Telesphori Mkude wa Kanisa Katoliki Jimbo la Morogoro ambapo amesema
serikali itaendela kushirikiana na kanisa katoliki katika mambo
mbalimbali kwa manufaa ya watanzania wote
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK