Home »
habari za kitaifa
» VIONGOZI WA CHADEMA NA WANANCHI WA ARUSHA WAMEACHIWA KWA DHAMANA.....POLISI YAMTAKA MBOWE APELEKE USHAHIDI KWA RAIS KIKWETE
VIONGOZI WA CHADEMA NA WANANCHI WA ARUSHA WAMEACHIWA KWA DHAMANA.....POLISI YAMTAKA MBOWE APELEKE USHAHIDI KWA RAIS KIKWETE
tangazo
Jeshi la polisi nchini limewaachilia kwa dhamana viongozi wa Chadema na wananchi wote waliokuwa wanashikiliwa na limemtaka mwenyekiti wa Chadema Mh. Freeman Mbowe kuwasilisha ushahidi wa mtu aliyelipua bomu kwenye mkutano kwa Mh. Rais kama hana imani na jeshi la polisi.
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.