Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » 'NASUMBULIWA NA FANGASI SEHEMU ZA SIRI....TATIZO LILIANZA MWAKA 2008."...NAOMBA USHAURI WA MATIBABU

'NASUMBULIWA NA FANGASI SEHEMU ZA SIRI....TATIZO LILIANZA MWAKA 2008."...NAOMBA USHAURI WA MATIBABU

tangazo
Huyu ni mtanzania mwenzetu ambaye amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuwasha sehemu zake za siri.Leo ameamua kuziweka  aibu  pembeni  na  kulianika  tatizo  lake  akiamini  kuwa  jamii  itamsaidia  KIMAWAZO.
-------------------

HUU NI UJUMBE WAKE:
Mficha maradhi mauti humuumbua.Mdogo wangu wa kiume amekuwa akisumbuliwa na tatizo la kuwasha sehemu zake za siri tangu mwaka 2008.Ilifikia hatua korodani zake zikabadilika ngozi na kubabuka kama za mbwa na zikawa zinatoa harufu.

Hapo hakuwa na jinsi zaidi ya kunieleza.Nilichokifanya ni kumpeleka hospitalini.Walipima damu yake, mkojo, ngoma, kinyesi lakini hawakuona kitu.Walimpa dawa za kutumia kwa muda alafu aone kama zitamsaidia.

Zile dawa hazikutibu chochote.kwa kiasi fulan, zilisaidia kuikausha ngozi lakini baada ya muda hali ilirudi kama zamani.

Nimezunguka naye sana bila mafanikio.hata dawa za kienyeji katumia pia lakini hakuna kitu.

Jamani, kama kuna mtaalam yeyote tunaomba atusaidie kimawazo.Tufanyaje ili kulitibu tatizo lake?

Je, hii ni fangasi au ni gonjwa gani.


Asanteni.
Noni. 

 Kwa msaada wa USHAURI, bofya  hapo chini:

<<BOFYA  HAPA  KUTOA  USHAURI  WAKO>>>
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger