Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » "KIAMA CHA WASANII MAMISS KIMETIMIA.....FANI IMEWASHINDA NA WAMEKIMBILIA KUJIUZA"...THEA

"KIAMA CHA WASANII MAMISS KIMETIMIA.....FANI IMEWASHINDA NA WAMEKIMBILIA KUJIUZA"...THEA

tangazo

BAADA ya wasanii waliotoka kwenye mashindano ya u-miss kuvuma sana na kupotea ghafla, msanii mkongwe kunako gemu la filamu Bongo, Salome Ndumbagwe Misayo ‘Thea’ amefunguka na kudai utabiri wake umetimia.

Akizungumza na mwandishi  wetu hivi karibuni, Thea alisema miaka kadhaa iliyopita alitabiri kuwa wasanii waliokuwa wanavuma sana ambao walitokea kwenye mashindano ya u-miss, hawatadumu kwenye uigizaji hivyo utabiri wake umetimia kwani sasa hivi, hawavumi tena.


“Utabiri wangu unafanya kazi kwa sababu kwa sasa wale wasanii walioibukia kwenye mashindano ya u-miss wengi hawasikiki tena, wasanii wanatakiwa kutambua kuwa sanaa hii siyo lelemama yaani mpaka kufikia hapa tulipo tulifanya kazi ya ziada, tulisota sana kwenye vikundi,” alisema Thea

>>Kuyathunitisha  maneno  ya  Msanii  Thea, Tembelea  hapo  chini  ujionee  mamiss  wanavyouza  miili  yao....

<<  UCHAFU  WA  MAMISS>>
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger