Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MOTO ULITOKEA KWENYE MITAMBO YA VODACOM JANA LAKINI UMEKWSHA DHIBITIWA

MOTO ULITOKEA KWENYE MITAMBO YA VODACOM JANA LAKINI UMEKWSHA DHIBITIWA

tangazo


Moto ulitokea kwenye betri za mitambo ya simu lakini mitambo yetu ipo salama. Wataalamu wa mtandao wanaendelea kurudisha umeme ili kurudisha huduma za simu.

Tunawashukuru kwa uvumilivu wenu na kuwaomba radhi kwa usumbufu. Tutaendelea kuwapa taarifa za maendeleo ya ukarabati unavyoendelea. Juhudi zote zinafanywa kuhakikisha huduma zinarudi hewani mapema iwezekanavyo.

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger