Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Dillish amkana mwanaume wa Kenya aliyedai kuwa ni baba yake mzazi

Dillish amkana mwanaume wa Kenya aliyedai kuwa ni baba yake mzazi

tangazo

Baada ya mwanaume mkenya Abdi Galgayo Guyo aliyejitokeza juzi  katika ofisi za Standard Media Kenya na kudai kuwa ndiye baba mzazi wa mshindi wa BBA The Chase Dillish Mathews kutoka Namibia, Dillish amemkana na kusema baba yake ana asili ya Somalia.

Mashabiki mbalimbali wamemuuliza Dillish kuhusu Guyo kupitia twitter, lakini Dillish ambaye ameonesha kushangazwa na habari hizo, jana  alitweet kuwa baba yake ana asili ya Somalia hivyo hajui huyu jamaa ameibukia wapi!..

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger