Mkurugenzi wa IPP, Bw Reginald Mengi amemtolea uvivu waziri wa Nishati na Madini, Mh Sospeter Muhongo, na kuweza wazi hisia zake kuhusu waziri huyo kwa kupitia mtandao wa Twitter. Mzee Mengi ameandika:
Mh Muhongo asambaza taarifa za uongo juu yangu kuhusu vitalu vya madini. Ni kufilisika kifikra. Asipoteze lengo. Ajibu hoja ya gesi
— Reginald Mengi (@regmengi) September 6, 2013
Mh Muhongo weni Mbunge,Waziri,Profesa,Muumini wa Baba wa Taifa. Unathubutuje kusambaza uongo. Ukweli mtupu juu yako unatisha.Mi sisambazi
— Reginald Mengi (@regmengi) September 7, 2013
tangazo