Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » Napenda PESA zake tu ila sitaki NIMVULIE nguo zangu na sitaki KUNGONOKA nae...naomba ushauri

Napenda PESA zake tu ila sitaki NIMVULIE nguo zangu na sitaki KUNGONOKA nae...naomba ushauri

tangazo
 
Nina mahusiano ya kawaida tu na kijana mmoja wa kichaga ambaye ni mfanyabiashara yapata miaka 3 sasa.

Anatoa huduma zote kwangu kifedha kasoro tu dushelele lake ndo silihitaji maana sina hisia zozote jaman za mapenzi kwake (toka moyoni) ki ukweli...nataka hela zake tu

Kwanzia mwaka jana jamaa anaulizia ndoa me namwambia subir nimalize chuo,kwakweli nataka kumuacha huyu mtu ila sijui nitumie njia gani.(pesa ilinoga)


Pia kinachonikera jamani jamaa huyu anatangaza maeneo ya hom kwamba me ni mtu wake tena kwa vitendo.......
Ukiongea nae kwenye simu anakwenda eneo la watu wanaonifahamu basi ananitaja jina kwa jina......

Nikitoka hom akiniona tu bas atapiga simu mbele za watu......eeeh hallo nakuona ndo unatoka mke wangu,bora tukakutane mbele kwa mbele huku wazushi wengi lol!!!!!!

Sina raha kabisaaaaa na huyu mtu zaid ya zile pesa lakin sasa baaaassssiii sitaki tena maana mpaka sisimizi nahis anasimuliwa.

Aliniambia anavumilia mpaka ndoa ila akigundua kuna mtu anakula mzigo basi atafanya kitu mbaya....Nifanyaje?

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger