Home »
habari za kitaifa
» Rwanda yawarejesha WATANZANIA 70 waliokuwa wametimuliwa KIMAKOSA katika oparesheni kimbunga
Rwanda yawarejesha WATANZANIA 70 waliokuwa wametimuliwa KIMAKOSA katika oparesheni kimbunga
tangazo
Serikali ya nchi ya Rwanda imewarejesha watanzania 70 jamii ya wafugaji
wa kabila la wahima na wazinza waliokamatwa kimakosa katika operesheni
kimbunga inayoendelea nchini na kuwataka wananchi wake kuwa watulivu
wakati kamati ya bunge la jumuiya ya Afrika Mashariki ikishughulikia
mgogoro uliopo kati ya rwanda na nchi ya Tanzania.
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.