tangazo
Vilio vimetawala ulipo msiba wa Nyawana Fundikira, maeneo ya Gongoni, Tabora mjini
wakati wa mazishi ya mwili wa msanii huyo ambaye alikuwa ni mwimbaji na mtangazaji wa kipindi cha taarab ‘Ambaa na Mwambao’
kinachorushwa na Passion Fm..
Nyawana alifariki juzi baada ya kusumbuliwa kwa muda mfupi na malaria na upungufu wa damu ambapo ameacha mjane na watoto wawili.
TUPE MAONI YAKO
Nyawana alifariki juzi baada ya kusumbuliwa kwa muda mfupi na malaria na upungufu wa damu ambapo ameacha mjane na watoto wawili.
PICHA na aloyson.com