tangazo
Jeshi la polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni limewatahadharisha wakazi wa jiji la Dar es Salaam kuwa makini na watu ambao ni matapeli Kutokana na kuibuka kwa mbinu mpya ya wizi wa fedha kupitia njia ya mitandao ya simu pamoja na mashine maalum za kutolea fedha Benki ATM.