tangazo
Mrembo Avril wa Kenya yupo njia panda. Ana hii ngoma kali anataka kuiachia lakini hajui aipe jina gani. So anataka wewe shabiki wake umsaidie kuupa jina wimbo huu.
“Morning Fam, I’m in a dilemma. Tryin to get a title 4 my next release, can u help? Have a listen, let me know, “ametweet.
“Hope you enjoyed this one. Still not sure what to call this song..have a listen and if you can drop me a suggestion here or on @avrilkenya – Twitter or Avril_Kenya – Facebook. Thank you fam.”
HII NDO AUDIO YAKE MPYA
Kwamtazamowangu naona ni bora "SITAKI MWINGINE"