Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » JUSTINE BIEBER ASHUSHA BOXER NA KUYANIKA MAKALIO YAKE.....INAONESHA BANG* INAMTESA SANA

JUSTINE BIEBER ASHUSHA BOXER NA KUYANIKA MAKALIO YAKE.....INAONESHA BANG* INAMTESA SANA

tangazo



Pop and R& B star Justin Bieber amewashangaza fans wake walioshindwa kutafsiri nini chanzo cha haya yote, baada ya kupost picha inayomuonesha kwa nyuma akiwa ameshusha boxer kama sio chup* akiwa na lengo la kuonesha makalio.

Bieber amepost picha hiyo kwenye Instagram na baada ya muda mfupi akaamua kuifuta, lakini tayari watu kibao walikuwa wameshaidownload na imezagaa kwenye mitandao kibao. Mwimbaji huyo ambae ndo kwanza amefikisha umri wa kiutu uzima (18) hakuandika chochote kwenye picha hiyo na ni kama aliwaachia watu waseme.


Picha hii ambayo imesambaa kwenye mitandao inawashtua zaidi watu ambao walikuwa bado wanashangaa picha ya Bieber akiwa anachoma majani a.k.a marijuana kwenye chumba cha hotel akiwa na washikaji zake akiwemo rapper mwenye umri mdogo "Lil Twist".

Kwa haya matukio mawili ya haraka haraka unaweza kujiuliza ni bangi, kama kweli anavuta, ama ndo vile he is young and wild and free!!

Lakini Bieber sio peke yake aliyepost picha ya aina hii, mwaka jana Justine Timbalake nae alipost picha kama hii alipokuwa ameenda tour kwa ajili ya Bachelor party kabla ya ndoa yake na mkewe wa sasa Jesica Biel.


Toa maoni yako hapo chini.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger