tangazo
Kila
msanii mkubwa amewahi kuwa na role model wake kabla ya kuupata ustaa.
Huenda Juma Mchopanga aka Jay Mo alikuwa na influence kubwa kwa muziki
wa Emmanuel Simwinga aka Izzo B kiasi ambacho hitmaker huyo wa Riz-One
kufanya ngoma na mzee wa Kimya Kimya kimekuwa kama ndoto iliyotimia.
Jana Izzo alikuwa studio za MJ Records kufanya ngoma mpya aliomshirikisha Jay Mo na hakusita kushare furaha yake kwenye Instagram kwa kupost picha baada ya recording session.
“12/03/2013 nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu kwa kuweza kurekodi na J MOE beat by KTB vocal na mixing by @masterjtz #Godzgood ,” ameandika Izzo.
Hivi karibuni Izzo alimshirikisha pia Ngwair kwenye wimbo wake Ball Player.