Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » JUKWAA LA WAHARIRI TEF LEO LIMEKUTANA KATIKA KIKAO CHA DHARURA

JUKWAA LA WAHARIRI TEF LEO LIMEKUTANA KATIKA KIKAO CHA DHARURA

tangazo
Jukwaa la Wahariri Nchini TEF, leo limekutana katika kikao chake cha dharura kilichowashirikisha wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari, ambapo kwa pamoja wamekubaliana Kuunda timu ya watu watano kwa ajili ya kufanya utafiti wa kihabari wa tukio la kutekwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Mwenyekiti wa TEF Absalom Kibanda.

Amesema timu hiyo itaundwa na wajumbe watatu kutoka TEF na mjumbe mmoja mmoja kutoka Baraza la Habari Tanzania (MCT) na Taasisi ya Vyobo vya Habari Kusini mwa Afrika – Tawi la Tanzania (Misa – Tan), na kwamba Timu hiyo itaanza kazi katika muda wa wiki moja kuanzia sasa na itafanya kazi hiyo kwa wiki mbili.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger