Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) AFARIKI KATIKA AJARI YA BASI

MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM) AFARIKI KATIKA AJARI YA BASI

tangazo


Mtu mmoja amefariki dunia papo hapo na wengine 11 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la kampuni ya Mohamed Trans likitokea Dar es salaam kwenda Dodoma baada ya kupata ajali katika eneo la Kiegea, Gairo barabara ya Morogoro-Dodoma.

Aliyefariki ametambulika kuwa ni Bernadeta Minja aliyekuwa Mhadhiri katika Kitivo cha Sayansi ya Jamii, Idara ya Uchumi na Biashara ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa safarini na mfanyakazi wake wa ndani.

Kwa mujibu wa Josephat Lukaza shughuli za msiba zinaendelea huko Kisasa, Dodoma alipokuwa akiishi marehemu.


TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger