tangazo
Leo, March 23, D’wikend chatshow ya Clouds TV itafanya shooting ya kwanza kwa mwaka huu ikiwa na muonekano mpya.

“NI BURE ila nyuka pamba kali tu sababu camera zitakua kila kona..Ni bata la kishkaji na wanetu, kuwa wa kwanza kuona studio zetu mpya @Coloured Lounge Mikocheni zamani La fiesta opposite na Club 327, kuanzia saa 1:00 usiku be on time…#FREAKS R KAMIN OUT. For more info 0659 383 599 Chatshow Help Line,” yamesema maelezo hayo.