Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » TASNIA YA MAIGIZO YAGEUZWA UWANJA WA NGONO....TUJIHADHARI NA DVD TUNAZONUNUA

TASNIA YA MAIGIZO YAGEUZWA UWANJA WA NGONO....TUJIHADHARI NA DVD TUNAZONUNUA

tangazo

Siku hizi ukinunua  dvd mpya  ya  filamu  ni  lazima  ukae chumbani  kwanza  uitazame  kwa  makini  kabla  ya  kuiweka  mezani  ili  watoto  nao  waangalie.....

Kwa wapenzi wa filamu za kinigeria nadhani  watakubaliana na  mimi..Hawa jamaa  siku hizi hawaigizi  na badala yake wanafanya kweli.....

Hapo zamani walijikita  katika filamu za kichawi.Siku hizi wamewekeza katika  katika mapenzi  na  kinachofanyika  si  kuelimisha tena  bali  tunafundishana  ngono  tu....

Tazama cover ya hiyo movie  na  utakubaliana  na  mtazamo  wangu. Tena  bora  katika  hii maana  cover inaonesha kabisa, lakini  mara  nyingi  cover zao  ni  za kawaida  ila  ndani  ni  madudu.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger