Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » POLISI WAMKAMATA KIONGOZI WA CHADEMA, LWAKATARE NA KUMPELEKA MAKAO MAKUU

POLISI WAMKAMATA KIONGOZI WA CHADEMA, LWAKATARE NA KUMPELEKA MAKAO MAKUU

tangazo

Wilfred Lwakatare ameitwa Makao Makuu ya Polisi sasa hivi kwa mahojiano na jeshi hilo kufuatia video clip iliyowekwa mitandaoni ikionesha  jinsi  alivyokuwa  akipanga  mbinu  za  utekaji....

WILLIFRED LWAKATARE  NI MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA WA CHADEMA...

Kwa taarifa ni kuwa atawakilishwa na wakili Nyaronyo Kicheere na baadaye kama watafungua kesi watakuwa na Mabere Marando.

Je, hii sio double standard ndani ya taifa?


Mbona Mwigulu hajakamatwa baada ya kusema ana mkanda wa njama za kufanya mauaji?

VIDEO  CLIP  YAKE... 
MAELEZO YOTE NI KWA HISANI YA JAMII FORUM
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger