Home »
habari za kitaifa
» BREAKING NEWS: ZAIDI YA WATU 18 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI KATIKA MACHIMBO YA MORRUM HUKO ARUSHA
BREAKING NEWS: ZAIDI YA WATU 18 WAMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI KATIKA MACHIMBO YA MORRUM HUKO ARUSHA
tangazo
Mwili wa mmojawapo wa marehemu.
Wananchi wa eneo hilo wakiwa na simanzi baada ya ajali hiyo.
----------
Watu
zaidi ya 18 wanahofiwa kuwa wamepoteza maisha baada ya kufukiwa na
kifusi wakiwa ndani ya mgodi wa Morrum huko Moshono jijini Arusha.
Kwa
sasa wanajeshi wanaendelea na zoezi la uokoaji na tayari majeruhi mmoja
ameokolewa na miili ya watu watatu.
Tukio hili linatokea ikiwa ni siku
siku tatu baada ya maafa mengine kutokea jijini Dar es Salaam ambapo
watu zaidi ya 30 wamepoteza maisha baada ya jengo la ghorofa 16
kuporomoka.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK