tangazo
Video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya wimbo wa Madee ‘Sio Mimi’ hatimaye imetoka. Ni video kali lakini ina tatizo moja la usagaji...
Ndani ya video hiyo kuna sehemu inayoonesha wasichana wakinyonyana ndimi
na hivyo kuchochea masuala ya usagaji. Sehemu hiyo inaweza kuchangia
video hii kupigwa vita.


VIDEO: