tangazo
Heshima
kwenu wadau,sasa hivi kuna trend kubwa ya wasichana ambao kidogo
unakuta wamejaaliwa kupata walau kipato cha kawaida tu na kuamua kutoka
nyumbani kwao kwenda kupanga chumba.....
Je hili mnalionajae liko sawa au sio
sawa?....
Wazazi wengine wanaamini kuwa hata kama binti amejaaliwa kupata kazi basi akae kwao mpaka
mungu atakapojaalia kumpa mwenza wa ndoa....
Unasemaje kaka, dada, mjomba, baba au mama juu ya hili???
Udaku speshially