Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MBUNGE AOMBA KUWE NA CHUO CHA KUFUNDISHA WANAUME KUTONGOZA WANAWAKE

MBUNGE AOMBA KUWE NA CHUO CHA KUFUNDISHA WANAUME KUTONGOZA WANAWAKE

tangazo

Ilikuwa ni kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Celine Kombani ambaye alieleza jinsi baadhi ya wanaume wanavyowachukua wanawake ombaomba au vichaa na kujamiiana nao na kisha wanawatekeleza wanapopata mimba.

Ndipo mmbunge mmoja wa viti maalum CCM alipoinuka kuuliza swali la nyongeza akisema, kwamba wanaume wanaowanyia hivyo hawa walemavu ni kwa sababu hawana uwezo wa kushawishi wanawake. Hivyo, kwa nini serikali isiunde na kujenga chuo cha kufundisha wanaume kushawishi mwanamke hadi ampate?


Celine Kombani alijibu serikali haiwezi kujenga chuo cha namna hiyo kwani suala la njia ya mwanaume kumtafuta na kumshawishi mwanamke amkubali ni suala binafsi.

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger