Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MPENZI WANGU ANATOKWA HAJA KUBWA WAKATI WA TENDO..NAOMBENI USHAURI

MPENZI WANGU ANATOKWA HAJA KUBWA WAKATI WA TENDO..NAOMBENI USHAURI

tangazo

Habari ndugu  mwandishi....

Natanguliza  samahani  kama  nikuwakwaza  kwa  namna  moja  au   nyingine.Kuna tatizo  kuwa  sana  linalomkabili  mpenzi  wangu .

Kulipeleka  kwa  daktari  tunaona  aibu  hivyo  nikaona  ni  bora  niombe  ushauri  kwanza  kabla  ya  kuamua  chochote.....

Ni  kama mwezi sasa nimekua na mahusiano na  huyu dada ambaye  kwa  sasa yuko chuo kikuu..

Ni dada mwenye sifa zote za kuitwa mwanamke.Nishakutana nae  kimwili kama mara nne hivi   na  mwisho ilikua jana usiku...

 Cha ajabu na kinachonishangaza ni kuwa wakati wa tendo ilikuwa  ni lazma atoe haja kubwa  japo si kwa wingi....

Nimejaribu kuchunguza kama ni mdau wa 0718 lakini anaonekana si muumini wa hayo mambo...

Nilipomuuliza kama ashawai bakwa siku za  hivi  karibuni amekataa,au kama ashawahi kutumia 0718  napo  kagoma...



Mwenyewe pia eti hajui ni kwa nin imekua hivyo na anasema hali hiyo imemuanza wakati yuko na mimi....

Ni kitu  ambacho  kimenichanganya   sana...Nimemuomba  amuone  daktari  amegoma  kabisa  kwa  kuogopa  aibu.

Nifanyaje  jamani..!! 
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger