tangazo
Bi Celestina Ananius(35) amenusurika Kuuawa na Padri wa kanisa
katoliki parokia ya hombolo iliyoko dodoma kwa jina la celestine john
nyaumbana ambaye kwa Sasa
anaishi kwenye Makazi ya Katoliki Mbezi kwa ajili ya Masomo.
Dada huyo
anasema amekuwa katika mapenzi na padri huyo tangia akiwa Fratel,akawa
Shemasi na sasa ni padri nasuala hilo ni siri yao na wazazi wa pande
mbili hadi wamezaa mtoto anaitwa Agnes(3).
Bi Celestina ambaye anaishi Dodoma alikuja Dar kumfuata Mpenzi wake huyo ili ajue hatima ya huyo mtoto wao....
Sasa wakati wapo dar padri huyo alimuomba mpenzi wake huyo watoke kidogo kwenda kutembea maeneo ya kiluvya...
Walipofika huko wakati wapo
katikati ya poli padri huyo alishuka kwenye gali na kumshambulia dada huyo kwa madhumuni ya kumuua na kupoteza ushaidi ila hakufanikiwa
kumuua
.....
Taarifa za Polisi Mkoa wa Pwani zinaonyesha kuwa Mwanamke huyo aliokolewa na Wasamalia wema na kukimbizwa Hospitali ya Tumbi Kibaha kwa matibabu!!!
source: Police Kibaha na wapo radio kipindi cha patapata