Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MWANAMKE ANYONGWA KIKATILI KWA KUTUMIA SURUALI YAKE

MWANAMKE ANYONGWA KIKATILI KWA KUTUMIA SURUALI YAKE

tangazo


Tukio hili la kikatili limetokea huko Brazil (Cuiaba public square). Inasemekana kuwa binti huyo mwenye miaka 22 aliuawa na watu kisha wakamning'iniza kwa kutumia suruali yake aina ya jeans ili ionekane kama alijinyonga.

Wazazi wa binti huyo wanamshuku 'x-boyfriend' wake kuwa muhusika wa tukio hilo kwani hawakua na maelewano baina yao siku kadhaa kabla ya tukio.

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger