Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » MWANAMKE MPUMBAVU HUIVUNJA NDOA YAKE MWENYEWE NA SERIKALI PUMBAVU HUBOMOA NCHI"...SUGU

MWANAMKE MPUMBAVU HUIVUNJA NDOA YAKE MWENYEWE NA SERIKALI PUMBAVU HUBOMOA NCHI"...SUGU

tangazo

Wakati akichangia bajeti ya PM, Mh Mbilinyi ametumia lugha kali sana dhini ya serikali na Mwigulu Nchemba akazua ubishi mkubwa kati yake na Speaker..

Ameanza kwa kusema kuwa "Mwanamke mpumbavu huvunja nyumba yake mwenyewe" na hivyo hivyo serikali pumbavu hubomoa nchi.

Akiwa  na  jazba  nyingi,Joseph Mbilinyi 'sugu' amemchanachana Mwigulu kuwa ni mpumbavu na kudai  kuwa anafanya dili alafu anatumia m-pesa...

Baada  ya  kumvaa  Mwigulu, Sugu  alimgeukia waziri wa elimu Mulugo na  kudai  kuwa ana elimu ya kuungaunga na ni chenga tupu...


Sugu  anadai  kushangazwa  na  tabia  ya  usalama  wa  taifa  kuifuatilia Chadema na kung'oa watu kucha na meno. 

Pamoja na kukalishwa mara mbili na spika ili atumie lugha ya staha bado aliendelea
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger