Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » NIFANYE NINI ILI NIACHE TABIA YA KUPENDA MAJIMAMA?

NIFANYE NINI ILI NIACHE TABIA YA KUPENDA MAJIMAMA?

tangazo

Mimi ni kijana wa Miaka 21 , Na umri wangu huu mdogo lakini nimesha experience vitu vingi katika mapenzi...
 
Mwanamke wangu wa kwanza alikuwa na miaka 41 mimi nikiwa namiaka 19, toka kipindi hicho mimi nimekuwa nikipenda wanawake wazima wenye umri mkubwa...
 
Cha ajabu kila nikiwatongoza wanakubali wengi wao ni wake za watu ...Sasa imenikaa akilini nikimpata msichana mdogo siridhiki kabisa na mwishowe namuacha natafuta Mwanamke aliye nizidi umri...
 
Tatizo wengi wao wameolewa sasa tunafurahishana tu alafu wanawahi kwa wanaume wao..
 
Naombeni ushauri..Je nifanyenje hizi feelings za kupenda majimama ziiishe?
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger