Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » UPDATE : HALI BADO NI MBAYA HUKO TUNDUMA...WAKRISTO WANAWAPIGA HATA WATOTO WADOGO WENYE HIJABU....MCHUNGAJI KAUMIZWA

UPDATE : HALI BADO NI MBAYA HUKO TUNDUMA...WAKRISTO WANAWAPIGA HATA WATOTO WADOGO WENYE HIJABU....MCHUNGAJI KAUMIZWA

tangazo

Habari za za hivi punde toka  kwa  mdau  aliyeko Tunduma mkoani Mbeya  zinaeleza kuwa hali bado  ni  mbaya  na  watu  wamejifungia  ndani.... ndugu waislam nao wamenza kulipiza kisasi .
Mchungaji mmoja anaripotiwa kuwa na  hali mbaya baada ya kupigwa sana....
 Wakristo nao wanawapiga hata watoto waliovaa hijabu toka shuleni ....
Viongozi wa serikali wote wapo Tunduma. hali ni mbaya FFU wamezagaa mtaani wakiona mko zaidi ya watu wawili mnapigwa bomu, ....
Hadi sasa ile sehemu ambayo ina watu muda wote hakuna hata mdudu barabara zote kuu zimejaa maaskali. 
Kama hujanunua mahitaji ya nyumbani leo unalala njaa

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger