Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » ASHLEY TOTO NI MREMBO ANAYETAKA KUKUPA KUKUPA MOYO WAKE......

ASHLEY TOTO NI MREMBO ANAYETAKA KUKUPA KUKUPA MOYO WAKE......

tangazo
Ashley Toto ni mwanadada msanii na   mrembo ambaye anaishi Germany kwa sasa ....

 Ashley  yupo Germany  kwa  ajili  ya  kuutangaza  utamaduni  wa mwafrika  halisi  kupitia  fani  ya  maigizo....


Mrembo  huyo  ameshatoa filamu ndogo  kwa  ajili  yako  mdau iliyopo hewani kwa sasa   ili  ujionee uwezo alionao  katika  fani  hiyo......Jina  la filamu  hiyo  ni "MOYO WANGU"  na  tumeipachika  hapo  chini  ili  uione  Bure .....
LENGO la Filamu za Kiswahili zinazotengenezwa nchini Denmark chini  ya  kampuni  ya VAD FILM PRODUCTION   ni kuunganisha nguvu za kutangaza filamu na tamaduni za kiafrika nje ya bara la Afrika....

HUU  NDO  MOYO  WA  ASHLEY...'MOYO WANGU"
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger