Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » TID NAYE AGOMA KUSHIRIKI KATIKA SHOW YA LADY JAYDEE

TID NAYE AGOMA KUSHIRIKI KATIKA SHOW YA LADY JAYDEE

tangazo
Show ya miaka 13 katika muziki ya Lady Jaydee inazidi kupata pigo baada ya TID kuwa msanii mwingine latest kujitoa kwenye show hiyo.


Moja ya sababu anayosema TID ni kuwa ana mkataba mwingine wa show unaolipa zaidi.. Sababu ya pili ni kuwa hataki kuwa katikati ya ugomvi wowote.
 
Hivi ndivyo alivyoandika TID kwenye ukurasa wake wa Facebook.
 
“Three reason why i can’t do lady JIDE SHOW ………….No.1 I have better contract pays me better than.

No.2 I really don’t want to be between anybody’s conflict ya kwangu yananishinda naona nieupushe shari…


No.3 nataka kuoa muda wangu ndo huu ……………kama nimekukosea captein na madame kazeni but I have been thru same shit.”
 
Tayari Linah, Barnaba na Matonya wamejitoa kutumbuiza kwenye show hiyo
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger