Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » KWA NINI AKINA DADA WANAIPENDA STAILI HII??? ..JE, NI TUSI , FASHENI AU NI BUSU ???

KWA NINI AKINA DADA WANAIPENDA STAILI HII??? ..JE, NI TUSI , FASHENI AU NI BUSU ???

tangazo

Mambo  vipi  Mpekuzi...!!

Kuna  kitu  kunaniumiza  sana  akilini.....Kinaniumiza  kwa  sababu  kila  nikifikiria  huwa  sipati  jibu.

Kitu  chenyewe  ni  hii  staili  mpya  ya  UWEKAJI  WA   MDOMO  kwa dada  zetu  wakati  wa  kupiga  picha......

Hiyo  staili  yao  ya  "mdomo"  humaanisha  nini???....Je  ni  "Tusi"  flan  au  ni  "fasheni"  tu   ???


Kwa  kweli  ni  kitu  kinachonitatiza....Utakuta  dada  ni  mzuri....  nikiwa  na  maana  kwamba  ni  kifaa, lakini  naye  Kauvuta  mdomo, pembeni  kidogo  kaupanua ,alafu kaunyonga....Nadhani  kuna  maana  flani  iliyojificha
Nimeileta  maada  hii  nikiwa  na  imani  kuwa  wasomaji  wenzangu   hasa  akina  dada watanipanua  kimawazo  na  kunijuza  zaidi....


Mdau  wenu,
Mwanza.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger