Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » "MAKALIO YA LOVENESS DIVA NI MACHAFU.....KWANZA MTU MWENYEWE NI NJITI"...HAYA NI MATUSI TOKA KENYA BAADA YA DIVA KUPARAMIA PENZI LA PREZZO

"MAKALIO YA LOVENESS DIVA NI MACHAFU.....KWANZA MTU MWENYEWE NI NJITI"...HAYA NI MATUSI TOKA KENYA BAADA YA DIVA KUPARAMIA PENZI LA PREZZO

tangazo
Vita  kali  ya  matusi  ya  nguoni  imeibuka  kati  ya  Loveness Diva  wa Bongo na Lady Boss  wa  Kenya  kisa  kikiwa  na  PENZI  LA  PREZZO..... 

Mwanadada maarufu nchini Kenya  maarufu  kwa   jina  la  Huddah Monroe leo  ameingia  kwenye  bifu  kali  na   Tanzanian Diva, Loveness Love, kwa  madai  kwamba  Diva  ameparamia  penzi  la  mpenzi  wake  ambaye  ni  prezzo....
  
Mrembo  huyu  anashangaa  kuingiliwa  penzi  lake  na  mtu  kama  Diva....Kwa  upande  wake  anamchukulia  Diva  kama  mwanamke  mchafu, Njiti,asiye  na  makalio ya  kuvutia  na  kahaba......

Naomba  nisiyamalizie  matusi  yao.....Hizi  ndo  tweets  za  huyo  mrembo  wa  kenya...  











TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger