Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT NAYE APINGA KUFUTWA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT NAYE APINGA KUFUTWA KWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

tangazo
Katika kipindi cha Tuongee asbuhi Makamu mkuu wa chuo cha SAUT Father Charles Kitima amesema kitendo  cha  bunge kuingilia Baraza la mitihani na kutaka  mitihani isahihishe upya ni kuvunja sheria ya nchi. ....


Kitima  amesema wanaosema mitihani isahihishwe upya hawana vision ya nchi hii kwani wako Bungeni kupiga madawati na kufundisha watoto matusi kwa hiyo hawana weledi wa kuongoza nchi hii.

Makamu  huyo  ameongeza  kwa kusema Rais wanamlaum bure kwa sababu kuna waziri wa elimu MPUMBAVU ambaye  ndiye  anayepaswa  kulaumiwa


Amesema bunge letu linatumiwa vibaya na wabunge walio wengi kwa kupitisha kila kitu kinacho jali masilahi yao wakati wao watoto wao wako nje ya nchi,pia akaongezea kwa kusema nchi hii imekufa usalama hakuna elimu imekufa na watu wanatumia bunge vibaya. .
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger