tangazo
Suala
la mtangazaji wa EATV Sam Misago kumtoa nje ya studio Juma Nature
kutokana na kuvaa ndala, limemsaidia kiongozi huyo wa Wanaume Halisi
kuanzisha biashara mpya, ya ndala.

Akiongea na XXL ya Clouds FM, Nature amesema tayari ameshasaini
mkataba na kampuni moja kuanza kuuza ndali hizo ziitwazo Halisi na wiki
ijayo zinaweza kuingia mtaani.
Msikilize zaidi hapa.