Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » PREZZO ALINASA PENZI LA LOVENESS DIVA

PREZZO ALINASA PENZI LA LOVENESS DIVA

tangazo
Huenda  watangazaji wa kike wa Clouds FM humchanganya sana, Prezzo. ...

Kama unakumbuka aliwahi kudai kuwa hasemi wala haongei kwa uzuri wa Dj Fetty. 

 
Na sasa habari  za  kitaa ni kwamba jicho la rapper huyo mwenye asili ya Kenya na Tanzania limetua kwa mtangazaji wa kipindi cha Ala za Roho, Loveness Diva. Wiki iliyopita, Diva alimwalika Prezzo kwenye show yake na huenda ukaribu huo uliongezeka zaidi siku hiyo.

Kwa mujibu wa You Heard ya Clouds FM, Diva na Prezzo ni item.

“Diva siwezi kumwachia bwana, nimwachie nichekwe,” alisema Prezzo. 
 
“Bado mahari tu mshkaji wangu inatoka kutoka Mwanza. Only time can tell, nikikuambia sasa hivi ukweli wangu ntamaliza uhondo. Inaitwa yaani love at first sight, Diva mwenyewe umeshamwona, she is classy yaani she is beautiful,” alisisitiza Prezzo ambaye jina lake ni Jackson Makini.
 
Hata hivyo Diva amekanusha kwa kudai kuwa yeye na Prezzo ni marafiki tu.
Unaweza kusikiliza hapo chini
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger