Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » VIDEO YA MTANGAZI ALIYAEAMUA KUNYONYA MATITI YA MWANAMKE LIVE WAKATI WA KIPINDI CHAKE KISA KIKIWA NI KUIFUNDISHA JAMII

VIDEO YA MTANGAZI ALIYAEAMUA KUNYONYA MATITI YA MWANAMKE LIVE WAKATI WA KIPINDI CHAKE KISA KIKIWA NI KUIFUNDISHA JAMII

tangazo
 
Mtangazaji wa kituo kimoja cha Televisheni nchini Uholanzi aliacha watazamaji wamepigwa na butwaa baada ya kunyonya matiti na kunywa maziwa moja kwa moja kutoka mama mmoja wakati wa kipindi chake.

Mtangazaji huyo, Paul de Leeuw, alikuwa amealika kundi la wanawake kutoka asasi moja ambayo inaruhusu kubadilishana maziwa ya mama kati ya akinamama kwenye kipindi chake cha burudani, Langs de Leeuw.

Kwenye hiyo video, tafsiri ya mazungumzo yao yalienda kama hivi:

Leeuw: “Maziwa yana ladha gani, ni matamu? Umeshawahi kuyaonja?”
 
Wendy: “Ndio, huwa nayaonja mwenyewe kila wakati kabla kuyagawa”

Leeuw: “Nani anaweza kunipa rukhsa kuyaonja”?

Wendy: “Unaweza kuonja yakwangu, nimekuletea chupa tayari”
Leeuw: “Siwezi kupata moja kwa moja kutoka kwenye titi kati ya moja wenu?” (wahudhuriaji wacheka)
 
Wendy: “Well …. kama hautang’ata, unaweza kujaribu toka kwenye titi langu …” (wahudhuriaji wacheka na kupiga makofi)

Leeuw: (akijitayarisha): “Kamulia usoni mwangu!! haha, hapana, hapana. Ninafanya vipi?”
 
Wendy: “Sijui, sijawahi kunyonya kutoka kwenye titi moja kwa moja …”
 
Leeuw: (Baada ya kunyonya na kuonja maziwa kutoka kwenye matiti yote mawili): “maziwa kutoka kwenye titi la pili ni matamu zaidi, lakini nimepata ladha inayoonyesha ulikula asparagus jana” (Asparagus ni aina ya mboga)
 
 Wendy: “Well, sio jana ila nilikula asparagus Jumanne, haha”

Kipengele hicho kimeibua shutuma kali katika mitandao ya kijamii lakini Wendy ametetea mabadilishano hayo yasiyo ya kawaida, akisema ilikuwa ‘kwa nia njema’.
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger