Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » » VIDEO: MAITI YAGOMA KUPELEKWA MAKABURINI

VIDEO: MAITI YAGOMA KUPELEKWA MAKABURINI

tangazo
Hivi  kumbe  uchawi  upo  kila  nchi?....

Katika  hali  isiyo  ya kawaida, maiti  moja  nchini  Kenya  imezua  kituko cha  aina  yake  baada ya  kugoma  kupelekwa  makaburini.....

Gari  lililokuwa  limeibeba  maiti  hiyo  lilizima  ghafla  na  kugoma  kusonga  mbele...... Likirudishwa  kwa  nyuma, linarudi....mbele, hapana!!!

VIDE O  YA  TUKIO  HILO

TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger