Home »
habari za kitaifa
» VIDEO YA NAPE NNAYE AKIWAVAA CHADEMA NA KUDAI KUWA WANAHUSIKA NA MLIPUKO WA BOMU
VIDEO YA NAPE NNAYE AKIWAVAA CHADEMA NA KUDAI KUWA WANAHUSIKA NA MLIPUKO WA BOMU
tangazo
Wakati jeshi la polisi na vyombo mbalimbali vya usalama vikihaha kumtafuta mtu aliyerusha bomu katika mkutano wa kampeni huko Arusha chama cha mapinduzi CCM kimetoa tamko kuhusiana na tukio hilo na kukishutumu moja kwa moja chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) kuwa wao ndio wanaohusika na tukio hilo .
TUPE MAONI YAKO KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.