Ungana nasi kwa kuandika email yako hapa ili upate habari mpya kupitia email yako bila usumbufu:


Home » , » "KAMA BABA YAKO ANGEKUWA NI SHOGA, WEWE BARACK OBAMA USINGEZALIWA"...HII NI KAULI YA WANANCHI WA KENYA

"KAMA BABA YAKO ANGEKUWA NI SHOGA, WEWE BARACK OBAMA USINGEZALIWA"...HII NI KAULI YA WANANCHI WA KENYA

tangazo

Akiwa  nchini  Senegal,Rais  Obama  alinukuliwa  na  vyombo  vya  habari  akiyasisitiza  mataifa  ya  afrika  kuhusu  kutambua  uwepo  wa  MASHOGA  na  kwamba  haki  zao  za  msingi  ni  lazima  ziheshimiwe...

Kauli  hiyo  imewachefua  wengi  hasa  viongozi  wa dini  nchini  Kenya .

Jana, kiongozi  wa  kiislamu  alimuuliza  obama  swali  gumu  sana  kwamba  "Atajisikiaje  endapo  atabaini  kuwa  watoto  wake  wa  kike  Sasha  na  Malia  ni  WASAGAJI???"

Kwa  mtazamo  huo huo, Wakenya  nao  wamepaza  sauti  zao  na  kumhoji  obama  kwamba  "Angeupataje  urais  wa  marekani  kama  baba  yake  mzazi  angalikuwa  ni  SHOGA  wa  kuliwa  0712, au  0713  au  ile  0718????"..

Waafrika  wengi  wameanza  kumuona  Obama  kama  mtu  msaliti  na  mbinafsi.Yeye  alizaliwa  baada  ya  wazazi  wake  kukutana  kimwili, mama  akabeba  mimba  na  hatimaye  akamzaa  yeye.Mungu  akambariki, leo  hii  ni  Rais  wa  taifa  kubwa  duniani.

Iwaje yeye  azunguke  duniani  na  kutetea  mambo  ya  USHOGA na  ndoa  za  jinzia  moja??

Huo  ni  ubinafsi..Sitaki  niseme  mengi.

ANGALIA  HII  VIDEO  HAPO  CHINI  UONE  WAKENYA  WANAVYOMCHUKULIA  OBAMA

Credti: Kenyan Daily Post
TUPE MAONI YAKO
KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
KUMBUKA KU LIKE UKURASA WETU WA FACEBOOK
 
Support : mpekuzi | John mpekuzi | Wataalam
Copyright © 2009. DOMO LANGU - All Rights Reserved
Template designed by mpekuzi
Proudly powered by Blogger